Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Echidna huwa wanapata joto kama ilivyo mwili wa mnyama yeyote, 32° C (89F). Joto la mwili wao halidhibitiwi kwa njia sawa na ile ya mamalia wengine na inaweza kushuka hadi 6-8 ° C nyakati za mchana.