Kwa mujibu wa takwimu za Muungano wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Asili (IUCN), okapi ni aina ya viumbe walio hatarini. Ingawa haijulikani ni wangapi wanasalia porini, wanasayansi wanakadiria kwamba idadi yao inaweza kuwa imepunguzwa kwa nusu katika miongo miwili iliyopita.