Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaweza kufanya haya yafuatayo kwa mteja huyu:
Mpe maelezo kuhusu bidhaa au huduma unazotoa katika biashara yako.
Mpe ofa ya ukaribisho.
Onyesha sura na lugha nzuri itakayo mfanya aone ujio wake mpya umethaminiwa sana.
Ikiwa inawezekana au atahitaji, mpe mawasiliano ya biashara yako pamoja na muda wa utoaji wa huduma.