Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa zimeanza kukita kambi kwenye uzi huu na kuhatarisha kabisa uwepo wa huu uzi.

Tangu zamani tunajua kila mmoja ana itakadi yake, lakini tumeishi kwa kuheshimiana.
Ni kweli kuna wakati tunavikosoa vyama vya siasa lakini, tumedumu tukiheshimu ufuasi wa kila mmoja.
Ushauri wangu kwa wapenda siasa, Hoja zote za siasa zipelekwe kwenye majukwaa husika.

Wengine tumeamua kuwepo muda wote hapa maana kwenye jukwaa la siasa wengi wao hawana uwezo wa kujibu hoja za kisiasa, badala yake wamebakia kumwaga matusi na kukulazimisha kuwa ni wewe ni mfuasi wa chama furani hata kama sivyo hivyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unapenda mahindi ya kuchoma na firigisi za kukaanga? Nimekuuliza hivi unaunga mkono maovu mbali mbali dhidi ya Watanzania? Hutaki kujibu [emoji12][emoji12][emoji12]
Napenda firigisi[emoji39][emoji39]

Kwahiyo imeshindikana kabisa kujibu maswali yangu pasi na kuniuliza swali?
 
Demokrasia ya kiafrika ni ya kipuuzi sana, Demokrasia yenyewe inaishia pale mtu anapodai haki yake akaipata.
Akishapata haki zake za kujieleza, kuchagua na kuchaguliwa, hajali tena haki za wengine.
Ndiyo maana mpaka sasa bara la Afrika lipo pale pale.
Hatuna maendeleo kwasababu ya upuuzi wa aina hiyo.
 
Firigisi hii hii ambayo ni firigisi 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona unakwepa swali langu lakini? Lini ulianza kukumbatia maovu ya kutisha dhidi ya Watanzania? Watakatifu na maovu hawawivi chungu kimoja mtakatifu Anne.
Napenda firigisi[emoji39][emoji39]

Kwahiyo imeshindikana kabisa kujibu maswali yangu pasi na kuniuliza swali?
 
Ipo mianaharakati uchwara ambayo haijui hata inapigania nini. Haitaki kushauriwa wala kusikiliza maoni ya wengine hata kama ni wengi. Imagine mijitu kama hii ndiyo ipate madaraka. Itashaurika na kusikiliza maoni ya wengine - hasa kama ni wengi? Je, huo siyo udikteta? Demokrasia ni nini kama siyo kusikiliza pia maoni ya wengine ili kuleta utangamano wa kijamii? Kama kila mmoja angefanya analotaka bila kujali uhuru wa wengine (hasa kama ni wengi) jamii ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…