Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakorea wengi hawatumii pafyumu kwa sababu hawatoi harufu kwapani na maeneo mengine ya mwili. Watu wa jamii ya Korea na baadhi ya nchi zingine (Asia mashariki na Amerika kusini) wana jini (gene) ya ABCC11 ambayo inazuia utengenezwaji wa vitu vinavyogandisha jasho mwilini na kusababisha harufu mbaya. Ni vigumu kupata pafyumu kwenye maduka ya Korea.
 

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"​

Umekaza ubongo au siyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Unanichekesha ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaha nimeangalia nafsi nikahisi tu, huyu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si bure hii Saint ataifuta sasa hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Nataka kuifuta,kuna watu wananiogopa kisa hiyo.

Twende kwenye maswali na majibu Sasa[emoji3526]
 
Hahahahahaha kuna watu wanakuogopa ukapiga break ya nguvu hukutaka kuendeleaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya swali la BAK unataka waache kukuogopa ili iweje? 😜😜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Nataka kuifuta,kuna watu wananiogopa kisa hiyo.

Twende kwenye maswali na majibu Sasa[emoji3526]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…