Aisee!!
Tutarajie watu wengi kufa kwa kukosa kiongozi wa kutujengea ujasiri.
Tangu tarehe 22 mwezi jana nimekuwa nikihangaika na hii homa, mbaya zaidi na wife akaibeba. Tukikohoa au tukipenga kamasi damu zinatoka, hospitali nafasi ya kusikilizwa haipo, kumejaa...
Hofu...
Rais wetu alituondoa hofu, tukakaa na kujitibu kienyeji na mazoezi madogo madogo tukifanya.
Ahsante Mungu juzi Jumanne tumeweza kutoka nje tena tukiwa na afya japo sio imara sana.
Ahsante Mungu
Ahsante Rais wangu kwa kutujengea ujasiri.
Nenda Rais wangu, safari yako impendeze Mungu, Nafsi yako iendelee kuishi milele.
Hakika wote tutakufa.