Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa ni mgomvi sana Mkuu yaani anapambana bila woga. Anadai ugomvi wake na jiwe chanzo chake ni kuvunjiwa nyumba yake katika bomoa bomoa ya Dar. Niko poa kabisa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu weekend ndiyo hiyo inaishia. Vipi wewe Mkuu?
Niko na amani naamini ipo tele kwako pia.
Weekend inakwisha na tuko na holiday kadhaa mbele week hii.
Wacha tumuhifadhi JIWE kwanza🙏
 
Kwa nini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena?

Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii kuanzia mwaka 1961 hadi 1975, akiwa ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).

Emilio Mzena, aliaminiwa sana na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, baada ya idara yake kuzima majaribio kadhaa ya kumpindua. Na hiyo ikapelekea Mwl. Nyerere, kumpa heshima ya kuiita hospitali hiyo kwa jina lake.

#Kama Ulikuwa Hujui Ndiyo Ujue
 
RIP Mwalimu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
IMG-20210321-WA0050.jpg
 
Back
Top Bottom