Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee...mabao yatakuwa mengi...Mshambuliaji wa zamani wa Uholanzi Marco van Basten, 56, anasema sheria ya kuotea ( offside) inapaswa kuondolewa . (Sky Sports)
"Nefaaaa" [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii laana uliyo niangushia ifikie pahali shemeji, inanitesa.
Yaani mdogo wako anaulumu ezi mimi ndiye prodyuza wa hiyo drama... "mbona Anko zako nawaonaga wanaongelea series za Kikorea, kwanini usiwambie..."
Kachafukwa Msukuma [emoji3][emoji3][emoji3]
Uwe na siku njema shemeji [emoji120]
True dat....Tafiti: Wazaliwa wa mwisho kwenye familia huwa na tabia ya kuwa wabunifu na hupenda kujitegemea zaidi kwa mambo mengi wanayofanya. Sababu mojawapo inayotajwa ni kutokana na kupewa uangalizi mdogo zaidi kimakuzi na wazazi tofauti na wazaliwa wengine kama wa kwanza.
Duh!! nani huyo?
πππππππππ€£π€£π€£π€£π€£True dat....
Vitindamimba hoyeee !!![emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
Amani yetu idumu
Hali bado ni tete View attachment 1734016