BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mtoto wa kwanza kwa uangalizi upi?!! Tafitiiii wee tafitiiii!!!Tafiti: Wazaliwa wa mwisho kwenye familia huwa na tabia ya kuwa wabunifu na hupenda kujitegemea zaidi kwa mambo mengi wanayofanya. Sababu mojawapo inayotajwa ni kutokana na kupewa uangalizi mdogo zaidi kimakuzi na wazazi tofauti na wazaliwa wengine kama wa kwanza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mungu ni mwema [emoji120]Kabula dadangu shikilia hapo hapo mpaka huyu Mnyaki anyoroke. Lazima atulipe ng'ombe wetu aliotudhulumu...
Give him no peace. Wi niidi awa kaozi !!! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Siku ni njema aisee. Natumaini hata nyie huko mko salama. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo kwa ze don umejiwahiMtoto wa kwanza kwa uangalizi upi?!! Tafitiiii wee tafitiiii!!!
Mtoto wa kwanza kutumwa huku na huko hata kwa mambo yasiyo eleweka, toto la mwisho lipo miguuni mwa mama yake linalia kwa kugalagala kisa limejikojolea...wa kwanza naitwa tena nikalivue nguo huku nina ndoo mkononi natakiwa nikateke maji!
Watoto wa mwisho huwafanya wakubwa wapakimbie nyumbani.
Ila Ze Don hahusiki hapa,yupo ngangari sana
Huo utafiti kusema kweli hata mimi umenishangaza. Tafiti za wazungu hizi nyingine ni pasua kichwa [emoji16][emoji16][emoji16]Mtoto wa kwanza kwa uangalizi upi?!! Tafitiiii wee tafitiiii!!!
Mtoto wa kwanza kutumwa huku na huko hata kwa mambo yasiyo eleweka, toto la mwisho lipo miguuni mwa mama yake linalia kwa kugalagala kisa limejikojolea...wa kwanza naitwa tena nikalivue nguo huku nina ndoo mkononi natakiwa nikateke maji!
Watoto wa mwisho huwafanya wakubwa wapakimbie nyumbani.
Ila Ze Don hahusiki hapa,yupo ngangari sana
Anajua moto ungemuwakia. Mjanja sana. Na kwa vile ana deni la mahari basi fulu kujikunyata yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kwa ze don umejiwahi
Aseeee[emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote..Bado kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa.
[emoji120][emoji120]Poleni wagonjwa, Mungu Mwenyezi awaponye [emoji120] [emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Jioni iwe ya amani na utulivu...