MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
2017 noma sanaaa, times fly😎
R.I.P Ngosha
Hahahaha..Na kabla hujaliweka sawa sawa bakuli la nyama jamaa wameshachangamka hasa kama ni wengi ambayo ilikuwa kawaida. Halafu ugali wa moto mno. Yaani we unahangaika kupoza jamaa wanatwanga tu
Mzuzu[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1734219
Nadhani kufichua "Siri" za ugonjwa na mauti ndo kunawa boaKwani huyu Kigogo anahusikaje na kifo cha Kiongozi wetu?
HaswaaMaradhi nii faradhi, kila mmoja atayapata.
Maradhi pia siyo siri hasa ukiwa Kiongozi wa uma.
Watu wenye lengo na nia ya kugombea madaraka ya uma lazima walijue hili.