MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
😂😂😂Sitasahau nimetoka shule saa saba mchana, nafika nyumbani Anko akanituma nikamnunulie bange mjini, mwendo wa masaa matatu kwenda na kurudi kwa mguu, njaa inauma vibaya mno
Ukiona hivyo maana'ake humfikishi, period!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Shemeji hachelewi kupindua meza...."ooo bado unadaiwa mahari ng'ombe kumi na tano"
Wavae barakoa, au?Mlio kwenye daladala,bajaji na bodaboda, kuweni waangalifu njiani.