Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona sasa lasti boni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila kiukweli ukiwa mdogo kutumwa na walio kuzidi umri kulikuwa kunachosha.
Sitasahau nimetoka shule saa saba mchana, nafika nyumbani Anko akanituma nikamnunulie bange mjini, mwendo wa masaa matatu kwenda na kurudi kwa mguu, njaa inauma vibaya mno.
Nilijawa na hasira, nililia njia nzima.

Narudi saa kumi na moja naambiwa nimechelewa kupeleka ng'ombe machungani, akachukua bange lake akaanza kunilundumula mifimbo...

Kiukweli nilipigwa bila kulijua kosa langu halisi, nilipigwa nikiwa nimechoka, nilipigwa nikiwa na njaa.
Nikaanza kuchukia kuishi kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…