Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nipo bro.Wapi Bradha
Inafikirisha hii...
Huu ndiyo muda unaofaa sasa kumruhusu CAG akague mashirika yote na taasisi zote za uma hata zile ambazo zinaendesha shughuli zake kwa hasara.Nipo bro.
Nafuatilia report ya CAG hapa.
CAG ameambiwa asiogope kutaja mashirika(na bodi) yasiyoperform.
Duuuuu.
Amekula chumvi si haba super star Diana
Alikuwa rafiki yake kipenzi, inadaiwa Michael alifanya Surgery ili afanane naye
Kwema kabisa bro. Sijui pande hizo??Huu ndiyo muda unaofaa sasa kumruhusu CAG akague mashirika yote na taasisi zote za uma hata zile ambazo zinaendesha shughuli zake kwa hasara.
Muda kufunika funika mahesabu nyeti kama hayo kwa kisingizio cha Uzalendo umeshapita.
Twende sasa[emoji120][emoji120][emoji120].
Lakini kwema bro