Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu umesoma na Mhandisi Deusdedit 🀣 🀣 🀣 ???
 
Futa kesi za hovyo hovyo zinaichafua serikali! Hayo makesi ya uhujumu uchumi yasiyo na maanaπŸ˜€

Mama buana!
Kuna siku Jaji Dr. Mbuki Eliezer Feleshi (Jaji Kiongozi kwasasa) wakati ule ni DPP aliwahi kusema haya:
"Hivi ninyi mawakili wa serikali mnashindwaje kweli kuwashitaki hawa watuhumiwa wakati Penal Code ina makosa zaidi ya 300 ???" Aisee siku ile nilichoka sana! 🀣 🀣 🀣
 
Mama kwa kweli kaanza kwa gia kubwa sana. I hope atabaki hivi.Akiheshimu raia, katiba, Bunge, mahakama, kuongoza kwa haki na uwazi kutuletea katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi basi anaweza kabisa kujizolea sifa nyingi sana si ndani ya Nchi tu bali hata nje ya mipaka yetu.
Futa kesi za hovyo hovyo zinaichafua serikali! Hayo makesi ya uhujumu uchumi yasiyo na maanaπŸ˜€

Mama buana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…