antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kabisa.. asisikilize wafia chamaMama kwa kweli kaanza kwa gia kubwa sana. I hope atabaki hivi.Akiheshimu raia, katiba, Bunge, mahakama, kuongoza kwa haki na uwazi kutuletea katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi basi anaweza kabisa kujizolea sifa nyingi sana si ndani ya Nchi tu bali hata nje ya mipaka yetu.
Jamani[emoji26]
Malcom una kitambi?Workout is an anathema, siku hizi unaweza ukatambulishwa Aisha lakini ukakuta ana kitambi kama Malcom.
Sasa unabaki unajiuliza huyu binti wa miaka 25 kitambi anakitoa wapi jamani, eeeh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Katika hili Mzee wangu Magufuli hakushauriwa vizuri ndiyo maana alipoteza pesa nyingi sana. Ukisoma Sheria za Usafirishaji wa anga, mara nyingi mataifa mbalimbali hayanunui kabisa ndege bali huwa yanakodi (Aircraft-Leasing) ili kukwepa gharama. Lakini sasa ukinunua kwa fedha taslimu gharama inakuwa kubwa zaidi kwasababu, unaanza kutengenezewa ndege mpya: Hapa sasa inabidi uanze kulipia chumba (Slot) ambapo ndege hiyo mpya itatengenezewa.
Eeeeh na wanazifakamia aiseee!Chips + kuku wa kisasa + soda au bia
Aisee nina Six Packs kama za John Rambo 🤣 🤣 🤣Malcom una kitambi?
TuoneAisee nina Six Packs kama za John Rambo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Chipsi na soda zinaleta kitambi?Chips + kuku wa kisasa + soda au bia
Dogo huamini tena ??? Mbona picha zangu niliziweka bwana!Tuone
Aaaah nyie BAVICHA hamna mema kabisa 🤣 🤣 🤣🤣Mama kwa kweli kaanza kwa gia kubwa sana. I hope atabaki hivi.Akiheshimu raia, katiba, Bunge, mahakama, kuongoza kwa haki na uwazi kutuletea katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi basi anaweza kabisa kujizolea sifa nyingi sana si ndani ya Nchi tu bali hata nje ya mipaka yetu.
Kwakweli inaumiza sana sijui waafrika tuna shida gani. Yaani mtu unakuaje na roho hii? Unazaliwa nayo au inakujia tu?? Nyie mliotembea tembea na wenzetu huko hawajali maisha ya wengine??Ndiyo shida ya mtu mweusi hii duniani kote. Ubinafsi. Ujinga. Kutojali. Rushwa isiyojali. ...Ndiyo maana hata tukitupiwa maganda ya ndizi huko mi sishangaagi sana. Ndiyo ufisadi upo kila nchi lakini huu wa kwetu huku Afrika bado unaakisi ujima wetu na pengine hata unyama wetu. Haiwezekani uibe $50 millions zilizopangwa kujengea vituo vya afya 100 vijijini halafu ubakie kuwa na furaha we na familia yako kuwa mko wajanja na mmetajirika huku watu uliowaibia wakifa kwa kukosa aspirin. Hata nafsi haikusuti? Ubinadamu wako uko wapi?
Daah yaani unafaidika Vipi kukusanya mali ambazo muda wote utaziacha?? Tena kwa njia haramu?? Kweli maisha ni fumboKuhusu kutaifisha mali za mafisadi hawa ni tatizo la kimfumo zaidi. Ni vigumu sana kuthibitisha mahakamani kuwa yupi na yupi ndiye kaiba na hata ukithibitisha bado kuna miongozo ya kisheria itakayokubana. Usipoifuata utaitwa dikteta. Na kwa vile ufisadi huu unagusa kila sekta mpaka madini, utajikuta unapambana na cartels za kimataifa. Ukizubaa wewe ndo utakufa na kuyaacha mafisadi yakidunda. Usifikiri kuwa marais wote hawa Afrika hawana uzalendo. Wengine wazalendo kweli lakini wakiingia tu madarakani wanakuta mfumo unatisha na wanasarenda.
Aisee naona unanizidishia majonzi..Mungu amrehemu tu raisi wetu. Ametuomyesha rangi ya wanadamu walivyoHata tukikupa leo wewe uwe rais utapambana na mifumo hasimu sana na ukivimbisha kichwa utauliwa tu. Kama unabisha kamuulize JPM atakuambia !!!
NilishasahauDogo huamini tena ??? Mbona picha zangu niliziweka bwana!
Wanamchora tu hawa.Aaaah nyie BAVICHA hamna mema kabisa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Muda si mrefu mtaanza kumrushia mawe mama wa watu!
Ntatuma usijali kabisa!Nilishasahau
Kichwa Cha Moto hiki[emoji1751]
Hebu fanya kurudia.