Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji120][emoji120][emoji120]Wakulima wote poleni sana...
Aisee....Mitandaoni humu ...
View attachment 1738810
Leo mikeka yenu imechanika vibaya mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji847]
Siyo tajiri wa mali,Mungu kamjaalia hekima na maono. Anaihangaikia Tanzania kuliko hata anavyo hangaikia maisha yake binafsi.Huyu mzee ni hazina ya taifa. Hajawahi kuniangusha [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1738856
[emoji125][emoji125][emoji441]Nipe macho nione [emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1738824
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاتهAsalaam Alyeikum
Doooh!!"DHARAU BWANA NOMA"
Jamaa mmoja alimpa Fedha Mkewe akanunue nguo za kuvaa MWAKA MPYA
Mwanamke huyo alinunua Khanga Pea (5) Kila moja na maandishi tofauti:
1. NAFASI IPO USIHOFU
2. KULA VITU KWA RAHA MWENYE NAVYO KAJISAHAU
3. HERI NIMPE JIRANI KULIKO KUACHA KITU KIOZEE NDANI
4. NIPE UTAMU NITOE HAMU MPAKA ANYWE SUMU
5. MWENYE NCHI YUPO, LAKINI MADINI YANACHIMBWA NA WAGENI KILA KUKICHA.
Wanawake bwana ni kisanga sana !!
Huyu mhuni nani alimpa huo wadhifa?!!!Huyu si wa kumsamehe kabisa View attachment 1737677