Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani ndiye muumini pekee wa siasa na itikadi za Mwalimu Nyerere aliyebakia. Mungu Aendelee kumlinda na kumbariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

We na Kabula wangu mkoje lakini? Mmepona sawa sawa? Mungu Aendelee kuwalinda. Kabula mwambie liugali likubwa na mabele maliboto yananihusu miye siku nikiwatembelea.
 
Hakika, Mungu azidi kumjaalia afya njema na yaliyo mema katika kipindi hiki cha machweo kwake[emoji120]

Mungu husikia maombi yako, tumekuwa na afya njema. Kukudhihirishia hilo ni kwamba tayari nimesha rudi kijijini.

Kuna sehemu nilikuona unaongelea mwezi June au July huko... Nikajisemeaa tu "hiiii lishemeji lyane linakuja"
Nipo busy kukuandalia maviazi na maboga.
Tumtangulize Mungu ili tuyawazayo na kuyapanga yakapate kibali cha kutimia [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…