Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Tayari wameanza kulegeza mambo. Tuombe uzima tu kwa kweli [emoji1545][emoji1545]

 
Anawaza kwa makini.
Unajua huyu bro alipokuwa muhadhiri UDSM alikuwa mkosoaji mkubwa wa wanasiasa na watumishi wengine wa uma, sasa ni zamu yake kupopolewa.
Inaonyesha hapendezwi na tuhuma anazobebeshwa lakini hana namna
Huyu haaminiki maana alikuwa katibu mkuu wa chama kipindi cha ile biashara pendwa, haramu ya ununuaji wa binadamu.. i.e madiwani + wabunge
 
[emoji3][emoji3][emoji3]nina hamu kuiona Anko.
 
Babu Anko Daemusin umejileta mwenyewe. Shikamoo nimesha ipokea kwa tashwishi tele.
Naomba urejee utajwa wa huko nyuma. Chonde naomba uifanye hiyo kazi.
kunisalimia kwako (shikamoo) hakuondoi ukweli ya kwamba wewe ni babu bomba.
poleni na msiba, japokuwa na sisi watuhusu ila hatujawazidi nyinyi wazee wa mrima.

babu waendeleaje?
bibi hajambo?
mjukuuu aliyezaliwa jana na leo naye hajamboooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…