Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndio vizuri ati unachanganya lugha za kila ainasijawahi kuwajaribu, watanifanya nianze mwanzo kuzoea lugha nyengine ya kigeni
Ndio tumehamia huku.?Hii nimeivuta episode 5 kuangalia kama wachina nao wapo vizuri japo sijaanza kuiangalia
juzi moja nilifanya kampeni ya kuziangalia video za marehemu pale youtube (alipokuwa hai sikuwahi kuangalia hotuba yake au ziara yake hata moja).Hili la msiba letu sote kama lilee la Maalim. Tuwaombee marehemu wapunguziwe adhabu ya kaburi
Hamna tunatest mitambo tuNdio tumehamia huku.?
dah! tausi na wimbo wetu wa baba na mamaNiliangalia nsyuka na saladini hizi nyingine sikuangalia au labda niliziona nimesahau. Kuna tamthilia ya wakenya inaitwa tausi kulikua na kipande cha mzimu unampa kash kash mwanadada mmoja aliyekua anatesa mtoto. Kila kikifika hicho kipande moyo unapiga sarakasi kali mno utoto raha
Jamani naona Mna mpango wa kuhamia china, wakati korea nina viporo vingi mnoHamna tunatest mitambo tu
Ndio vizuri ati unachanganya lugha za kila aina
Duh basi ile ilikua saa tatu kamili usiku mtaa mzima kimyaaaaa unasikia tu sauti za tv mbali mbali wimbo wa tausi ukitamba,muda wa tangazo ndo mnapata kuongea mawili matatu na kaubishi ka hapa na pale. Uwiii hlikosa uhondoπππdah! tausi na wimbo wetu wa baba na mama
kalimanzila, tausi sikua naiangalia kwa sababu ya muda, huwezi kuniweka kwenye tv saa 11 jioni, na usiku sikuruhusiwa kuangalia tv (mwisho saa 2 usiku)
saa 11 huo ulikuwa ni muda wa kucheza mpira
Viporo hata kwa kitambi mchuchumio. Subiri hapo hapo tunarudi bongo moviesπππππJamani naona Mna mpango wa kuhamia china, wakati korea nina viporo vingi mno
πππππππwachina wakizungumza utadhani wamebanwa na choo cha mapera.
huhhhaaaaa
nani aende china kunakoliwa popo wa corona,Jamani naona Mna mpango wa kuhamia china, wakati korea nina viporo vingi mno
πππ bongo tena hahahViporo hata kwa kitambi mchuchumio. Subiri hapo hapo tunarudi bongo moviesπππππ
ile tamthilia ilipendwa sana kipindi kile.Duh basi ile ilikua saa tatu kamili usiku mtaa mzima kimyaaaaa unasikia tu sauti za tv mbali mbali wimbo wa tausi ukitamba,muda wa tangazo ndo mnapata kuongea mawili matatu na kaubishi ka hapa na pale. Uwiii hlikosa uhondoπππ
πππ bongo tena hahah
Babu urojo kweli ni kaoga corona si imehamia sauzi...mimi nimeambulia drama moja tu mpaka sasanani aende china kunakoliwa popo wa corona,
hao wakorea washaanza kunipa za uso.
sijaangalia drama yeyote mpya tokea uanze mwaka 2021
nifanyie summary ya hii video, waziri wetu wa teknolojia katwambia mb zitapanda sana au kushuka sana ifikapo mwezi wa 6.Wooooyooooooo
View attachment 1739118
Enzi hizo tamthilia hazikunipita hasa za itv. Hio ya jengua ,tabia,peace bila kumsahau mama mwenye nyumba niliipenda sana maana ukipitwa tu kesho yake shulen huna jipya la kuhadithiaile tamthilia ilipendwa sana kipindi kile.
bongo ilikuwepo kidedea.
kuna binti aliitwa TABIA