D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nimerudi nyuma, bado naendelea kurudi nyuma.Babu urojo kweli ni kaoga corona si imehamia sauzi...mimi nimeambulia drama moja tu mpaka sasa
Wooooyooooooo
View attachment 1739118
nifanyie summary ya hii video, waziri wetu wa teknolojia katwambia mb zitapanda sana au kushuka sana ifikapo mwezi wa 6.
mimii ndio nishaanza mazoezi ya kujinyima bando
Itakuwa Uhenga unakunyemelea taratibunimerudi nyuma, bado naendelea kurudi nyuma.
hizi za 2021 hazijanikalia sawa, labda ulimi wangu ushachoshwa na ladha za kisasa
reddington sina habari naye kwa sasa.S4EP22
Mr. Kaplan Conclusion
Kweli kila mtu na mbabe wakeπ π
story zao zinacheza mule muleItakuwa Uhenga unakunyemelea taratibu
wanaume wa kipemba atawaweza.Hahahahahaha mrembo analalama kuhusu ukatili wa ME.
KABAAL walimsumbua sana.Raymond Reddington kwa Connection alizonazo ni halali ajue kila kitu. Ila kuna wakati anabanwa sana hadi anatia huruma. Mpaka sasa kiboko yake ni Solomon na Mr Kaplan π
mwanamama Kim Eun-Hee anajua sana kuandaa script bila ya kujali aina ya genresHii Series inaweza kukufanya usilale... Walijitahidi sana hapa wakorea
wanaume wa kipemba atawaweza.
kama vipi niombe nafasi.
sisi wanaume wa kipemba
- tukishaleta chakula ndio jukumu letu limeisha
- tunachosubiria ni kula tu
- sisi ndio wenye haki ya kuomba mechi, ukiomba wewe tunakoromaaa
- mimba tunakupa sisi, kliniki utakwenda wewe peke yako
- nguo za mtoto utakosha na kununua wewe, kikubwa tutakupa pesa
- saa 10 mpaka 3 usiku twacheza keramu, drafti huku tukipeana hadhithi za maalim seif
She looks promiscuous, with a diabolical sense of reality.Wooooyooooooo
View attachment 1739118
She looks promiscuous, with a diabolical sense of reality.
But I gotta admit she so fineeeee and I give her that !!!!