Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Serikali ya Rwanda imewafukuza raia 18 wa China kwa kosa la kuwafanyisha kazi za nguvu wanayarwanda.
Rais Kagame ametoa idhini ya kutimuliwa wachina hao baada kuthibitika wamefanya kosa hilo.
"Unategemea kuendesha maisha yako Afrika, halafu unakuja kutuletea dharau, haiwezekani"
Amesikika akisema rais Kagame.

Wachina hao inadaiwa waliwafanyisha kazi za kitumwa wanyarwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…