moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tumshukuru Rabbana kwa majaaliwa yake
Labda anatumia I'd ingineHayupo siku hizi maana kitambo sanaa
Unaeza ingia bila bando kabisa?Free basics mbona haiitaji bando yaan kitonga mseleleko unaweza pia kutumia bbc swahili hukohuko kitonga freee
😂😂😂"Mkate Mkubwa kiboko yake chai"
"Kazi ngumu mpe Mnyamwezi"
TAMISEMI ya Mzaramo Jaffo sasa amekabidhiwa mdigo, mbona mtakoma View attachment 1741091
Sababu ya ndugulile''Kuliko unitumie video ya MB 14 ni heri nipande bodaboda nije kuiangalia ulipo''.
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏🙏
AmenMungu atupe mapumziko mema na weekend njema..
Dooh.. ramani inasomeka clearly
Kifumbasi ni nini mkuu?Kilimo cha Kifumbasi kilitulipa sana, sijui kama kitaendelea kutulipa miaka hii.View attachment 1741614
Kweli kabisaUzi wake umevunja rekodi ya JF kwa kuwa uzi mrefu kuliko uzi mwingine wowote.
😂😂😂Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipata mchepuko wa kidigo ukifanya mchezo unaweza kumtoroka wife.
Nakumbuka sana hiyo kamanda.
We acha tu [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
😂😂😂watu wa Mwanza wana tabu sana
View attachment 1741650