The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
π€π€π€π€π€ Miss you more...Nafarijika kuona u mzima.!Niko sawa TH! Nmekumiss sana .. Send me a huge hug tafadhri
Happy Easter Dear
Really? sasa mimi ni yupi kati ya haoπ
Ahsante Sana VE wake sisy, kwahiyo leo mpaka kukuche.?πAhsante sana mrembo nakutakia nawe na your loved ones a great and wonderful Easter. Niko mguu juu najirusha tu leoπ
Haha aka kanyimbo nakapenda kama sikapendi, kananikoshaga
Wewe ndio huyo uliyejikausha kama hutaki hugsπReally? sasa mimi ni yupi kati ya haoπ
Ahsante Sana VE wake sisy, kwahiyo leo mpaka kukuche.?π
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa wana majibu jamani. Kuna sehemu wamejibu kimeumana
How lovelyπWewe ndio huyo uliyejikausha kama hutaki hugsπ
Haha aka kanyimbo nakapenda kama sikapendi, kananikoshaga
Oh yeah..!How lovelyπ
Kwakweli sibonyezi kitufe cha kuview sio kwa bando hili la ndungulile, ntangoja clouds wauwekeπNyingine hii imetulia sana sema video yake sijaipenda.
ππ dah, haya dear Jipe rahaHahahahaha leo breakfast ilikuwa saa saba. Huko kwenye luninga kuna ratiba poa sana na kuna movie Godzilla and King Kong trailer yake inavutia hivyo naweza nikaipitishia macho. Wangetuongezea weekend kila baada ya siku ya masaa 48 tupate kaweekend πππππ€£
Kwakweli sibonyezi kitufe cha kuview sio kwa bando hili la ndungulile, ntangoja clouds wauwekeπ
Ahsante sana TH! Nakutakia Easter njema pia kwako.Oh yeah..!
Enjoy Easter Cocoπ