The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nani huyoHuyu mod alieedit post yang lazima awe shabiki wa simba sio kwa chumvi hiyo hahahaha
Pole pole. Tutaelewana tu ....Team corona kimyaaa shuain zao kupandishana presha tu
Cc mahondaw [emoji16]
Mi ni zawadi nilopewa
Macho nipepese wapi
Mi kipofu kwako sioni...
Penzi limetaratadi, napepewa
Harufu ya marashirashi
Nikitouch touch shingoni...
Uvae baibui khanga
Viatu vya kuchuchumia kangaroo
Kisima tui tanga...
We huba nifukizia pambe tu
Ukizungushia shanga
Inashuka inapanda chini juu
Nishatafuna karanga...
Huu ugonjwa wa kudumuPole pole. Tutaelewana tu ....
View attachment 1742646
Uwe na Pasaka njema AnkoHappy easter