antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Anko nakuona unavyo sogea mdogo mdogo... Ipo siku,mara paaap mikononi mwa Anko [emoji3][emoji3][emoji3]Hah, hapa Bomba mbili anko kwa watani zako wangoni
Huyo analinda ugali ila sidhan kama 2025 au 6 ataendelea na ubalozi
SawasawaMlima Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu zaidi nchini na barani Afrika.
Kweli..Iwapo utapewa swali utaje milima 10 mirefu zaidi Tanzania huenda usijibu swali hilo kirahisi? Haupo pekee yako. Wengi wanaijua zaidi Mlima Kilimanjaro kutokana na upekee wake katika bara la Afrika.