Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Naona mke wa pili amepanda cheo.Huu ni mwaka wa akina mama
View attachment 1744457
Amin Bradha! Kitambo sana ..Amani iwe nawe bro!
Kheri kwako pia wa Liver.Heri ya sikukuu Wadau wa likes
Ahsante sana.Amin Bradha! Kitambo sana ..
Heri ya sikukuu ya pasaka Bro.
Dah.. kweli rekodi imemfuatilia vilivyo
Tumeimaliza vyema kabisa!Ahsante sana.
Kheri ya sikukuu na kwako pia.Natumai umesherehekea vizuri.
Aisee... Mh. Bi Mkubwa safi sana.
Nzuri.....haujambo?Mungu anakuona mpendwa😀.
Habari za masiku?
Sijambo dada yangu.Nzuri.....haujambo?
SafiiMamboz
HeriHeri ya sikukuu Wadau wa likes
KaribuNimepita kuwasabahi bandugu
Cheti feki itakuwaChuo kikuu cha Yohana, evening Class!! 🤣 ..
Yohana 3:16Kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milee
Hii inatoka wap?
Mwanzo 6:1Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
Ezra 6:3Katika mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi, mfalme Koreshi alitoa amri, Kwa habari ya nyumba ya Mungu huko Yerusalemu, nyumba hiyo na ijengwe, mahali watoapo dhabihu, na misingi yake ipigwe na kufanywa imara sana; kuinuka kwake kuwe mikono sitini, na upana wake mikono sitini;
Hii je inatoka wapi?
Poa sana bro. Kwema huko kwako? Jr wako atakuwa kakua sasa. Endeleeni kubarikiwa nyote.Naona mke wa pili amepanda cheo.
Salama bro? Kitambo sana.