Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bilionea mmoja kila baada ya saa 17India ilikuwa ya tatu kwa kuwa na idadi kubwa ya mabilionea, ikiwa na mabilionia 140. Kwa jumla, kulikuwa na mabilionea 1,149 kutoka Asia ya Pasifiki wenye jumla ya utajiri wa dola trilioni 4.7, ikilinganishwa na Marekani yenye mabilionea wenye jumla ya thamani ya utajiri kiasi cha dola trilioni 4.4.
 
Jeff Bezos, mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Amazon, amesalia kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa miaka minne mfululizo. Utajiri wake umekuwa kwa dola bilioni 64 zaidi na kufikia dola bilioni 177 mwaka jana.
 
Manchester City wanalenga kukubaliana kuingia mkataba mpya nawashambuliaji wa England Phil Foden,20, na Raheem Sterling,26, kabla ya mwishoni mwa msimu, baada ya kiungo wa kati wa Ubelgiji Kevin de Bruyne,29, kuongeza mkataba wake wa mpaka mwaka 2025. (Eurosport)
 
Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86.3 kwa ajili ya mshambuliaji Mbelgiji anayecheza katika klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku, 27, endapo the Blues watashindwa kumsajili mshambuliaji Erling Braut Haaland,20, wa Borussia Dortmund (Calciomercato-in Italian)
 
Tottenham watajaribu kumsajili mlinzi wa kati wa Southampton Jannik Vestergaard,28, mwenya thamani ya pauni milioni 18, baada ya dirisha la usajili kufunguliwa. (Express)
 
Liverpool wameiambia RB Leipzig kuwa hawatamsajili mlinzi wa kati, Mfaransa Ibrahima Konate,21, (Bild, via Express)
 
Reds watakabiliwa na ushindani wa Chelsea katika kumnasa kiungo wa kati wa Ajax Ryan Gravenberch,18, ambaye anatazamwa kuwa mbadala wa Georginio Wijnaldum,30. (Gazzetta dello Sport,via Express)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…