BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Asante Bro, napitia kipindi kigumu sana
Ndio ankoo, nimepoteza mwananguAnko kuna jipya tena?
Hahaha, ninyi BAVICHA mna wivu sana nyie.....!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣
Unamaanisha serikali ya rais huyu aliyepita au serikali za marais wote waliohudumu kwenye nchi hii huwa hivyo?Kuna wakuu wa idara, makatibu wakuu na manaibu, mawaziri na manaibu. Hawa wanawajibika vipi?
Rais asingeweza kusimamia kila kitu yeye.
Mkuu pole sanaa aiseeh!Ndio ankoo, nimepoteza mwanangu
Ndio ankoo, nimepoteza mwanangu
Aisee!!!!Ndio ankoo, nimepoteza mwanangu
Hahahaha subiri nijeLakini si nimekuomba utupie upande wa pili mkuu? Silali leo ujue
Asante bro[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pole sana Mkuu. Kifo cha mtoto ni kifo kikubwa sana. Vibgine ni kifo cha mke/mume na Wazazi hasa kama hawajala chumvi nyingi. Pole sana Mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha subiri nije
Kuna wakuu wa idara, makatibu wakuu na manaibu, mawaziri na manaibu. Hawa wanawajibika vipi?
Rais asingeweza kusimamia kila kitu yeye.
Nadhani nishakutendea haki kaka[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kumshukuru kwa kila jambo ankoo, kwani anamakusudi yake kufanya hivyo!Aisee!!!!
Nimepm.
Ulilolibeba hatuliwezi.Mtegemee Mungu
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.Ndio ankoo, nimepoteza mwanangu
Umekutwa na magumu mawili mfululizo. Kibinadamu ni ngumu kuhimili, itafute nafuu kwenye Imani, Mungu akupunguzie maumivu ya kuondokewa na wapendwa wako mfululizo [emoji120]Ni kumshukuru kwa kila jambo ankoo, kwani anamakusudi yake kufanya hivyo!
Bwana mdogo ana mzigo mzito sana.Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Bro pole sana.
umetoka kwenye kifo cha mzee sasa umepata pigo la mtoto, daaah.
Mapenzi ya Mungu yatimizwe[emoji120][emoji120]
Mkuu ukifukua makaburi huko dondosha na likes za kutoshaAlikuwa na ni gay that why he was virgin
Wamedhalilika sana aiseeNadhani nishakutendea haki kaka[emoji23][emoji23]
Umeona jamaa na wife wake mjamzito wanakata mitaa kiroho safi tu[emoji26][emoji26]Wamedhalilika sana aisee
Alivyoanza kuvipiga mikwara vyombo vya habari nilijua tunakoelekea siyo kuzuri.hebu acha hizooooo! Ripoti mbaya tangu 2016 kutoka kwa CAG hajawahi kuchukua hatua yoyote lakini aliona mbaya wake ni CAG Assad na hivyo kumfukuza kazi. Jiwe yeye mwenyewe alikuwa ni mwizi, fisadi na mkiukaji mkubwa wa taratibu husika ili aharakishe upigaji wake wa trillions za walipa kodi.