Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulaji wa bamia utusaidia kupunguza inflamesheni (mcharuko) yaani uvimbe, maumivu na maumivu ya tishu maeneo ya viungo (joints), mapafu, koo na hata mfumo wa chakula.
 
Unga wa mbegu za maboga una kiasi kingi cha madini ya zinki. Madini haya yanaimarisha kinga ya mwili, huboresha ukuaji na uundaji wa chembechembe hai, huboresha usingizi, huboresha ladha mdomoni na harufu, huboresha afya ya macho na ngozi, hurekebisha sukari n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…