Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti zinaonyesha matukio yanayotukia yanaweza kuleta athari chanya na hasi kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto.Wanawake katika nchi zilizoendelea wanapata fursa ya kumkuza na kumtunza mtoto kabla hata hajazaliwa, tofauti na nchi zinazoendelea
Mkuu, hapa ungeweka nyama ingependeza.. Wanafanyaje?

Niliwahi kusoma mahali namna Wayahudi wanavyofanya wakati wa ujauzito na kusababisha wazao wao kuwa na akili kubwa consistently, ndo nikajua kumbe ule msemo wa wahenga kuwa "ukiona vinaelea vimeundwa" ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…