Inapendekezwa unapozitumia dawa za kuongeza nguvu za kiume uwe na mwenzi wako tayari sio unakunywa ndio unapanda gari kwenda kumsaka inaweza isifanye kazi au ikafanya kazi kabla hujakutana na mwenzi wako na kisha baada ya kukutana nae ukashindwa fanya chochote," Dk Mabula
Kuwa na "Six Packs" hakuna uhusiano wowote kwamba una Afya Bora, Una nguvu, Una Mbio, Una Stamina, U mwepesi 'kwa Ufupi haina uhusiano wowote na ubora wa afya ya Mwili wako'.
Tafiti: Watu warefu huishi kwa muda mfupi zaidi tofauti na watu wafupi. Sababu inatajwa, mtu mrefu Seli zake hujivunja vunja sana hivyo huathiri mpangilio wa DNA. Kujivunja vunja kwa seli hupelekea seli kutokuwa na nguvu na kuathiri afya.
Chanzo: Mirror