myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Suala lankuonekana kwa mwezi ni la kiibada.Kuna nchi nyingi duniani siku hizi wala hawahangaiki kuutafuta mwezi bali wanatumia calendar na ziko very accurate mwaka hadi mwaka sisi bado tuko mwaka 47 na mwezi ni lazima uonekane Tanzania.
[emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote..
[emoji2937]Wakulima woote poleni sana..
[emoji109][emoji109][emoji109]Poleni wakulima wote..
[emoji120][emoji120]Wagonjwa wote Mungu awaponye [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
🙏🙏Ramadhani njema kwenu
Safii[emoji2937]View attachment 1750959