Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😋Baada ya kufanya mazoezi mwili hutoa jasho jingi na pia mwili huhisi kuchoka na kupungukiwa nguvu. Wataalamu wanapendekeza mtu kunywa maziwa kwa maana ya virutubisho vingi kama wanga, protini, vitamini na madini
Nipo nyanda za juu huku ujue[emoji39]
Na mvua hizi umefikaje jamani.?Nipo nyanda za juu huku ujue
Kwa mvua ya leo acha tu nijinywee kvantNa mvua hizi umefikaje jamani.?
Kunywa tu ila kidogo anko, kesho nikuletee uji wa maziwa😀Kwa mvua ya leo acha tu nijinywee kvant
Ati "Uji wa maziwa" utaniletea... Mungu akupe nini [emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa tu ila kidogo anko, kesho nikuletee uji wa maziwa[emoji3]
Asante sana anko, msalimu sana Aunt yetu hapo nyumbani,natumai nyote ni wazima.🙏[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa upendo Anko wangu kipenzi.
Karibu sana.
Endelea na majukumu yako
Bado nipo
Kazi yako ni ya kujitoa
Mungu akutie nguvu[emoji120]
Ahsante mama, zimefika [emoji120]Asante sana anko, msalimu sana Aunt yetu hapo nyumbani,natumai nyote ni wazima.[emoji120]
Atawafanya nini, anataka kuwapiga?
🤣🤣🤣Kwa mvua ya leo acha tu nijinywee kvant