Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia, Kamati hiyo imebaini kwamba Maafisa na askari wananyimwa fursa ya kupata vielelezo vya taarifa za mishara yao ikiwemo ‘Payslip’ zao hiyo imepelekea kwa baadhi ya askari hao kukatwa mishahara yao kinyume na utaratibu na kutokujua malengo ya makato hayo.
Alisema kuwa Kamati hiyo pia, imegundua kuwa kuna baadhi ya Askari waliokuwa wakitiliwa posho na kukatwa kwa kuingizwa kwenye maduka ya vikosi hali ambayo iliibua malalamiko mengi kwa askari na kuwakosesha morali ya kufanya kazi.
 
Hivyo, Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa pamoja na Kamati kufanya kazi nyingi na kugundua udhaifu sehemu nyingi sana inatosha kwa hayo yaliobainika kuweza kuchukua hatua za kisheria ambapo aliagiza wahasibu na waingizaji wa data wachukuliwe hatua za kisheria na tayari wameshasimamishwa kazi na utaratibu wa kuchukuliwa hatua za kisheria unaendelea.
 
Yaleli kipenzi, fuadini mwangu, ulojifungia
Ukajihifadhi, jua na mawingu, yangakunyeshea
Japo umeridhi, wito wake Mungu, kuuitikia -
Mbona mtimani
Ungalimo ndani?
Hukunifundisha, kukufungulia, nikuache wende?


basi ungeweza ewe jicho langu uzuie machozi
limenitenda giza kwenye moyo wangu kulipenya kazi
vuke launguza kifuani pangu, zanisha pumzi kikija kilio nina gugumio
 
Aseee
 
Mkuu, ilete hii taarifa kule kwenye majukwaa huru ili niseme kitu
 
Shenzy taipu
 
Nao wana kesi ya kujibu
 
Mambo haya tumezoea kusikia kuyasikia huko bara, naona sasa yamevuka bahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…