moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mchana wa RamadhaniMchana wa kula
Pumbavu sanaPia, Kamati hiyo imebaini kwamba Maafisa na askari wananyimwa fursa ya kupata vielelezo vya taarifa za mishara yao ikiwemo βPayslipβ zao hiyo imepelekea kwa baadhi ya askari hao kukatwa mishahara yao kinyume na utaratibu na kutokujua malengo ya makato hayo.
Alisema kuwa Kamati hiyo pia, imegundua kuwa kuna baadhi ya Askari waliokuwa wakitiliwa posho na kukatwa kwa kuingizwa kwenye maduka ya vikosi hali ambayo iliibua malalamiko mengi kwa askari na kuwakosesha morali ya kufanya kazi.
AseeSambamba na hayo, Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa takriban askari wote walikiri kuwa kwa mara ya kwanza baada ya kuanza uhakiki huo ndipo wamepewa βPayslipβ zao pamoja na kujua stahiki zao.
Shenzy taipu
πππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Pumbavu sana
bwana mwinyi anasema hatafukua makaburi, kikubwa anachokifanya ni kuchoma moto vichaka vidogo vidogo.Nao wana kesi ya kujibu
Mwinyi anaogopa uadui na kuzalisha akina kigogo wengine kisha kuitwa dikteta kisa kapigania maslahi ya wengi. Watanzania sio wa kuwatolea tatizo na kuwasulubisha utachukiwa mnobwana mwinyi anasema hatafukua makaburi, kikubwa anachokifanya ni kuchoma moto vichaka vidogo vidogo.
hiyo kadhia bila ya shaka aliyekuwa waziri wa nchi na vikosi vya smz alikuwa anahusika hivyo basi kuwahukumu makamanda wakuu pekee ni kuendeleza hiyo kauli ya kutokufukua makaburi ya wakubwa waliompigia kampeni.
jamaa fulani anaitwa haji omari kheri aliifanya hiyo wizara kama ya kwake kwa takribani miaka 10 ya utawala wa dk sheni, hizo vurugu zote za kupigwa watu hususani wapinzani zilisimamiwa na jamaa
ukitaja hao vigogo wa smz walioshikilia zanzibar na maslahi yake lazima umtaje huyo jamaa.
alichokifanya hussein chini ya utawala wake ni kuwaondoa wahafidhina wote, ila ningelifurahi zaidi kama angelitaifisha mali zao zote za kharamu.
View attachment 1751812
Ndugu zake wa visiwa vya tumbatu siku aliyoondoshwa kwenye nyadhifa yake na huu utawala mpya walifanya sherehe
sasa sijui akifa itakuwaje wallahi