D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe siku njema [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]Uwe usiku mwema [emoji120][emoji120]
[emoji120]nimekusikia anko.Hilo neno mse...sio zuri kulitumia,vitu vidogo vidogo kama hivi huharibu future ya mtu.
Usinijali sana, nimesha zeeka
Kawaida makaburi huwa jirani na nyumbani, kwahiyo tuseme tu hapo Ilundo ndiyo nyumbani au nakosea jirani?Pale kwenye kamlima panaitwa Ilundo, kaka angu tulie fuatana nae kaburi lake lipo hapo
Una jina zuri lakini unatoa hoja nzito nzito.Wasio na dini basi hawapo sawa.
Na kama kuna dini inaruhusu kumsimanga marehemu basi hiyo ni chenga takataka,siyo dini ya Mungu.
Kwahiyo usenge wake ni upi?
Kama hutaki kulaumiwa jiweke mbali na kazi za uma.
Changamoto moja ya kufanya kazi ya uma ni kulaumiwa, haiwezekani watu milioni 60 wote wakupende na kukusifia.
Kama dini yako hairuhusu maiti kusimangwa, kuna wasio na dini ambao hawaoni hiyo tofauti.
Kwahiyo imani yako haiwezi kuwa imani ya watu wengine.
Kuheshimu mawazo ya wengine ni heshima kwako pia.
Vinginevyo jibu hoja zao kama walivyozileta, matusi ni dalili ya kukosa hoja.
Aisee mpendwa leo hauko sawa itakuwa kuna mtu amekukwanza ulipo huu si uandishi ambao nimeuzoea kutoka kwako wewe si mkali kwa nini leo uwe hivi?[emoji16]unikome!
Humu jf sina boyfriend,mchumba Wala mume.
Kwakweli kikinuka hasara ni kwetu watanzania masikini, lakini heshima huwa inapatikana kwa njia hiyo.
Ikibidi kinuke
Wali na Kibua mtamu bhana[emoji23][emoji23]
Leo naona una siteresi za kufa mtu. Ila huu wasifu mpya unaojaribu kuuvaa...huu wa kuporomosha matusi mitandaoni humu na kutukanana na mizee inayoweza hata kukuzaa wala haukufai. Baki tu katika utakatifu na ulokole wako huko (hata kama ni wa kujifanya) tulishakuzoea...[emoji16]unikome!
Humu jf sina boyfriend,mchumba Wala mume.