Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado ni kijana mdogo ni basi tu Mungu kamjaalia upeo mkubwa.
Halafu mtoto wa kubembelezwa kula siyo kama sisi msosi wa maandamano [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila mzee wa Mwakaleli mi nilianza kujifunza kuogelea maji ya mto nikiwa umri wa chini ya miaka 10, nikajifunza Maji ya bahari nikiwa na umri wa chini ya miaka 15.
Sasa huyu ndugu yetu yupo chini ya miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…