antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Hatujambo mkuuHamjambo
MarahabaaHujambo dogo
Aww[emoji7]Niamekuandalia DakuView attachment 1754080
Sasa hilo siyo daku tena, ni futari hiyoAww[emoji7]
Mimi mbovu sana kuamka usiku wa manane.
Tufanye tu nile jioni jua likizama.
Mimi nataka futariSasa hilo siyo daku tena, ni futari hiyo
Sawasawa.Jifunze kuogelea kijana wangu
Hawampati..West Ham wanaamini wataweza kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Eddie Nketiah, 21, mwishoni mwa msimu.
Dume la mbegu...
Apumzike kwa Amani 🙏