Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ina maana gani hii mpendwa
Shukrani nduguFununu ni habari za mnong’ono; habari zisizo na hakika.
Jununu ni sawa na jambo.
Mambo mengi huanza kufahamika kwa fununu kabla ya kusikika kwa ukweli wake.
Msemo huu unahusiana kabisa na ule usemao:
"Lisemwalo lipo kama halipo laja"
Kuna kipa nasikia anauzwa hapo Simba naona wameamua kumpa maisha kijana MetachaSimba nanyi muwege na huruma. Utopolo wako vibaya basi mnazidi kuwanyanyasa tu. Kumbukeni kuwa bila Yanga umaarufu wenu hauna maana!
View attachment 1755720
Asifadhaike awaponye wale waliopo nchini mwake, aachane na hao wanaomiliki mtandao wa YouTube.Ushoga ni agenda za watu wakubwa hizo. TB Joshua naona alikuwa hajui [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1755721
Naikumbuka ile, shwaini zake