antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
"Siasa ni Sanaa ya kuibua matatizo ya jamii, kuonesha unaumizwa nayo, kisha kujifanya unayatatua kumbe unayaongeza.. Maana bila matatizo ya jamii hakuna wanasiasa." Groucho Max
AiseeHuyu samaki ni wangu bhanaView attachment 1755664
SawasawaMwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumi wa dini ya Kiislamu hufunga kuanzia alfajiri hadi jioni ikitegemea na mahali ulipo.
Kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan ni tendo la ibada, ambalo linawawezesha Waislamu kujiweka karibu na Mungu na kuimarisha imani yao ya kidini.