Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuhAsalaam Alyeikum
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuhAsalaam Alyeikum
Shukrani mpendwamuda wowote unaojisikia kula ila inapendeza kama utachelewa kula daku,
Amesimulia Abu Dharr (radhi za Allaah zimshukie) Amesema Mtume (rehma na amani juu yake) Umma wangu utabaki kwenye kheri iwapo wataharakisha kwenye kufutari na kuchelewa kula daku.
----------------
Hii ni hatari kwa pwani ya Tanzania...
[emoji2][emoji2][emoji2]If you're homeless just buy a house