iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Namba zote nmecheza hapo mpaka nilishindikana shule! Ila nlkuja acha ujinga nikawa napenda shule na walimu wakashangaa na kunipa support sana baada ya kutafakari maisha niliyotoka ni magumu na hakuna mkombozi zaidi ya elimu..
Ila nlvofika chuo nikaanza tena ukorofi wa chini chini [emoji3][emoji23] labda, Nafikiri ukorofi upo tu kwenye damu yangu japo najua namna ya kuutumia..