BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hata mimi napenda pilipili mno...nanyweaga na chai asubuhi.
Ila hizo zinaonekana kama nyanya.na kama ni pilipili basi ni zile mwendokasi
Ni nyanyaMbona kama ni nyanya hizo au macho yangu mabovu
Kweli.tena uwezekano wa kupiga game kwenye vifaa hatarishi ni mkubwa sana πTafiti: Wanaume wanaowasaidia Wake/Wachumba zao kazi mbalimbali za nyumbani huwa na furaha zaidi na pia tendo la ndoa hufanyika mara nyingi zaidi.
Mwaga mkuuNiko hapa leo kumwaga likes za kufa mtu
Basi mi napenda pilipili ninywee chai ya motooo au nirumagie na Coca Cola..almanusura nizaliwe Indiaπππππ sikuwezi lol! Mie kwenye breakfast pili pili hapana hata kama kuna kiporo cha wali na maharage ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Mh hizo nyanya zitakuwa ni vituruma sheikh
Nyanya tomato πNyanya chungu?
Hizi zinanukia sana.unapika mboga kigamboni goba wanasikia harufuZile ni nyanya.
Pilipili unazosema huku zinaitwa mwendokasi.
Hizi hapa[emoji116][emoji116]View attachment 1762991View attachment 1762996
Watu wanaumana hapoNape Nnauye: Vigezo vilivyotumika kuwawekea pingamizi na kuwaengua Wagombea wa Upinzani ni vigezo vya kitoto havina msingi
Salaam, Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amefunguka ya maoni. Kasema Kuna upungufu wa Sheria za Uchaguzi kwenye Local Government. Vigezo vinavyotumika kuwaweka watu Pingamizi na kuwaondoa, ni vigezo vya Kitoto. Ni vigezo ambavyo havina Msingi. Yaani mtu kakosea akaandika CDM badala ya...www.jamiiforums.com
Bibie kumbe ana asili ya Africa
Vituruma ni kitu gani ati?Mh hizo nyanya zitakuwa ni vituruma sheikh
Pilipili na chai?[emoji849][emoji849]Basi mi napenda pilipili ninywee chai ya motooo au nirumagie na Coca Cola..almanusura nizaliwe India
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh na chai labla unatania
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua pilipili haipatani na vinywaji kama chai, mwenyewe nimemshangaa[emoji23][emoji23]