BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ehee ni tamu sana sheikh ππPilipili na chai?[emoji849][emoji849]
Vunga basi madame..hili ni moja kati ya maajabu ya dunia uliyowahi kuyasikiaππMmmmh na chai labla unatania
Msishangae ndo ajabu leo hilo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua pilipili haipatani na vinywaji kama chai, mwenyewe nimemshangaa[emoji23][emoji23]
Mbona ni simpo tu jamani π€£π€£π€£πππππ
Mhindi anapenda pilipili ila Sidhani kam anaweza kunywa chai na pilipili.
Cherry π tomato
Binti ushaamka?Cherry [emoji523] tomato
Au Amber Rutty [emoji91][emoji91][emoji91]Mwanamke wa kawaida mkuu kama alivyo Gigy money
Nimeshaamka daddy..Binti ushaamka?
Kawe na siku njema; na Mungu Akabariki kazi za mikono yako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]