myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii sanaHapana ni nyanya kama nyanya.
Tomato.
Ni kama hizoView attachment 1763006View attachment 1763007View attachment 1763008View attachment 1763009
Safiii, imekaa poa
SawasawaKazi iendelee
Subutuuu!!! Jarbu Ujionee maajabu πππKwahiyo pilipili ya unga unakorogea kwa chai?
Karibu tenaAsante kwa ushauri
Mwache mwenzio ππSubutuuu!!! Jarbu Ujionee maajabu πππ
πππ Unataka anze kunena kwa lughaMwache mwenzio ππ
Leo jumapili kunena kwa lugha ni lazima πππππ Unataka anze kunena kwa lugha
Itakuwa maajabu sana πππLeo jumapili kunena kwa lugha ni lazima ππ
Wali na maharage mpendwaDaku ya leo nini?