Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Likes zangu za Siku Ya Muungano zikuje.
Wait nicheki vitu vyenyewe vinasemajeWeka vitu upate likes za kumwaga
Silaha mojawapo kuu ya "smooth gentleman" ni kunukia vizuri. Kama unanuka mdomo, makwapa na mwili aisee watoto wa ukweli utakuwa unawasikia kwenye TV tu...
Kanyerere kalikuwa kajanja mno kale kazee. Kanakuchekea tu laivu huku kanakumaliza. Wengi wanaamini inawezekana Karume hakuelewa hasa alichokuwa anakitilia sahihi....
Bro katika ubora wako, naona unatoa shule ππSilaha mojawapo kuu ya "smooth gentleman" ni kunukia vizuri. Kama unanuka mdomo, makwapa na mwili aisee watoto wa ukweli utakuwa unawasikia kwenye TV tu...
Dress well...
Be sharp and funny...
Smell well...
Utashangaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji16][emoji16][emoji16]. Umenifuma sis....Bro katika ubora wako, naona unatoa shule [emoji3][emoji3]
Ila hizo principle zina ukweli ππ. Mimi niko poa Bro[emoji16][emoji16][emoji16]. Umenifuma sis....
Nina ushahidi wa hiki nikiongeacho. Hata huyu wifi yako niliyenaye kwa sasa aligota kwa principles hizo hizo. Nilikutana naye kwenye ndege akaniambia "Oh Mr. You smell so good. Where are you from?" Nikamwambia we umekwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema lakini sis?
Wala hata huongi unakula vitu vizuri tu taratiiibu kabisa π¬Silaha mojawapo kuu ya "smooth gentleman" ni kunukia vizuri. Kama unanuka mdomo, makwapa na mwili aisee watoto wa ukweli utakuwa unawasikia kwenye TV tu...
Dress well...
Be sharp and funny...
Smell well...
Utashangaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Naona daktari wa manesi wanampiga spana π