Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ile tamthilia ya Kichina nimeipata jina japo kwa taabu sana.
Inaitwa Jin Tai Lang au Happy life, sasa kwa uzee huu macho hayaoni wapi pa kuipakua kwa matumizi ya bibi yako.
jina jengine inaitwa we love you mr jin, kwa hizi tovuti maarufu tunazozotumia kwa ajili ya kushushia drama za Asia sijabahatika kuiona kwenye search engines zao.

babu hizi tamthilia unazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…