Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi za kutoka Asia Esta anautaalam nazo sana, kwangu mimi kuzipakua hizi zilishanishinda kabsa
 
Uko sawa kabisa Mkuu. Mama alidai atafanya mabadiliko ya RCs na DCs lakini wengi wao wana tabia mbovu ya kidikteta kama alivyokuwa huyo jamaa na DEDs wengine chungu nzima. Nadhani inampa mama wakati mgumu katika kufanya teuzi zake.
Huyu jamaa ameathiliwa na mfumo wa zama za mawe aka jiwe.
Kwamba ukifakikiwa kuwashughulikia wapinzani mpaka jiwe likafurahishwa basi hutaguswa kwa kashfa yoyote.
Alijaribu kuishi kwa mazoea akidhani mambo ni yale yale.
Acha akione cha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…