BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
kabla ya kurudi kwa mtandao wa twitter (bila ya vpn) nilikuwa nagonga likes post za BAK bila ya kufahamu dhamira kuu ya kilicho postiwa😀😀😀.
Siyo ujinga. Ni mfumo wao. Na unawaendeshea maisha yao. Ni ujinga kwa vigezo vipi? Hata sisi majuzi tu hapa enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti tulikuwa na mfumo huo; na tuliishi vizuri tu.Ujinga mtupuView attachment 1770242
Muziki wake ukute udongo wa mfinyanzi sasa uwii. Utatamani kuibeba
Huyu Jurgen Klopp ndiye Daemusin? Just checkingMaambukizi yalipungua mwezi Aprili kwa chini ya 15,000, hii ikionesha asilimia 74% ya maambukizi yamepungua mjini Nairobi.
Takwimu za wataalamu wetu wa afya zinaonesha hali kama hiyo katika eneo ambalo tuliweka katazo la watu kutotoka nje mwezi Machi 26, 2021
Familia bora wapi tukija kukutafuta Gold Crest ili tuonane na kufahamiana laivu ili kudumisha familia unapotea eti anonimazi foreva? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Waaaow Amen Amen anko. JF idumu nimepata familia bora kabisa. Barikiwa sana
Esta hatabiriki wewe. Ukimkuta hajakaa sawa siku hiyo utakula makonzi siku hiyo mpaka uombe poo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Anko, unajua kwanini nakupenda sana?
Tabia yako ya kujitoa kwa kusaidia wenye uhitaji ndio inakufanya uwe wa pekee kwangu.Wewe sio tajiri kutuzidi sisi ila una vitu (upendo) kutuzidi sisi.
Kuna muda nikikukuta kwenye ligi za akina Zari au sijui WCB najikuta naumia,kwanini? Ni vile ulivyo mpole na hujui kuongea zaidi ya muda mwingi simu mkononi, najiwazia mara paaap....uso kwa na Juma Lokole, Anko wangu hutatamka hata neno moja la kujitetea kwa upole wako.... Mshipa wa uzazi una kakamaaa kwa maumivu makali.
Najua unanipenda ndio maana unanihangaikia,niseme nini mimi juu yako?
Ahsante sana Anko,upo kwenye maombi yangu miaka yote.
Sijajuta kukufahamu.
Agizo halijakaa sawa. Waliokuwa wanabambikiwa hiyo retention fee ya 6% huko miaka ya nyuma wanabaki nayo au inakuwaje?Bodi ya mikopo inasemaje huko
Kuna kaunafuu hapa. Kutoka 9 mpaka 8...Naona hakuna pesa za kutosha kuongeza mishahara. Kaahidi mwakani!Tupeni taarifa ya ongezeko la mishahara