myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maandalizi ya futari
AiseeKatika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona.
Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi 2021, la jinsi ya kukabiliana na janga la Corona, Nairobi ilikuwa na maambukizi 56,815.
Pendeza..Ila Wabongo wazuri jamani! Dah!
View attachment 1770243
Hii kitu hatari...ukiipinga inakutoa.
Hii kitu hatari...ukiipinga inakutoa.
Duh...mtu na mwana au
๐๐๐๐๐๐drinking buddiesDuh...mtu na mwana au
Vibaka wa pande za huko wamevuka mipaka
Pesa inachukua nafasi yake.
Wote wawili hawana maajabu ila mmoja ndo hana kabisaaa hadi ufito wa nguo umepitiliza magoti... Mungu amejaa maajabu